Skip to main content
Skip to main content

Watu watatu wa familia moja wazikwa huko Mwingi

  • | KBC Video
    393 views
    Duration: 2:48
    Watu watatu wa familia moja waliofariki mtaani Saika, kaunti ya Nairobi wamezikwa kwenye hafla iliyogubikwa majonzi huko Nzeluni katika eneo bunge la Mwingi Magharibi, kaunti ya Kitui. Watatu hao wanajumuisha Justus Wambua, ambaye alidaiwa kujitoa uhai, mkewe pamoja na binti wao. Viongozi waliozungumza kwenye hafla hiyo walitoa wito wa uchunguzi na juhudi zaidi ili kukabiliana na vifo vinavyozidi kuongezeka vinavyohusiana na matatizo ya afya ya akili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive