Watu watatu wafariki kwenye mapigano katika mpaka wa Kisii na Transmara

  • | Citizen TV
    998 views

    Hali ya taharuki ingali imetanda katika mpaka wa Kisii na Transmara ambako watu watatu wamethibitishwa kufariki kwenye mapigano yaliyozuka upya eneo hilo. Haya yanajiri huku waziri wa usalama Kipchumba Murkomen akipanga mkutano kati ya pande hasimu za mzozo huu, kama Chrispine Otieno anavyoarifu