Watu watatu wahukumiwa kufungwa miaka 40 gerezani

  • | Citizen TV
    1,701 views

    Mahakama kuu mjini Kisii imewahukumu watu wanne akiwemo baba na mwanawe miaka 40 na 15 kwa hatia ya mauwaji ya kina mama wanne wakongwe eneo la Marani kaunti ya Kisii kwa madai ya kuwa wachawi. Akitoa hukumu hiyo, Jaji Waweru Kiarie amesema wanne hao ndio waliowauwa wakongwe hao mwaka wa 2021