Watu wawili na chifu wauawa kwenye uvamizi eneo la Samburu na Baringo

  • | Citizen TV
    1,004 views

    Watu Watatu Miongoni Mwao Chifu Wa Kijiji Cha Ngaratuko Wameuwawa Kwenye Uvamizi Maeneo Ya Samburu Na Baringo. Kamanda Wa Polisi Bonde La Ufa Jasper Ombati Amedhibitisha Kuwa Watu Wawili Wameuwawa Usiku Wa Kuamkia Leo ,Baada Ya Kushambuliwa Na Wahalifu Katika Kaunti Ya Samburu.