Watumishi wa umma wahimizwa kuwatumikia Wakenya wote

  • | KBC Video
    28 views

    Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei amewataka wafanyakazi wa umma kuzingatia utoaji wa huduma kwa wakenya wote. Koskei alizungumza wakati wa ibada ya kutoa shukrani kwa watumishi wa umma katika Kanisa la All Saints Cathedral, jijini Nairobi. Mawaziri Opiyo Wandayi wa kawi na Alfred Mutua wa Leba, zaidi ya makatibu 20 na maafisa wa serikali walihudhuria ibada hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive