Watumishi wa umma wahimizwa kuwekeza

  • | KBC Video
    12 views

    Watumishi wa umma wamehimizwa kujiunga na vyama vya akiba na mikopo ili kujinufaisha kifedha. Afisa mkuu wa kitengo cha ufuatiliaji na ulipaji mikopo katika chama cha ushirika cha Hazina Nelson Somoei, amesema kupitia vyama hivyo, watumishi wa umma wanaweza kupata huduma za kuwawezesha kifedha ikiwemo mikopo yenye riba nafuu mbali na kujiwekea akiba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive