Wauguzi Na Wafanyikazi Wa Afya Ya Umma Watishia Kugoma

  • | TV 47
    12 views

    Muungano wa kitaifa wa wauguzi nchini Kenya KNUN, umetoa ilani ya mgomo wa siku 21 kutokana na madai ya ukosefu wa haki chini ya mpango wa huduma ya afya kwa wote (UHC).

    Miongoni mwa matakwa ya KNUN ni kubadilishwa kwa wauguzi kutoka kwenye kandarasi za muda hadi kandarasi za kudumu zilizo na pensheni, kutekelezwa kwa fomula ya kurejesha kazini ya mwaka 2017 iliyoahidi nyongeza ya mishahara

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __