Wauguzi waliohitimu na wanaotoa huduma za afya kwa wakenya

  • | K24 Video
    35 views

    Huku ulimwengu ukiadhimisha wiki ya wauguzi ulimwenguni, ipo haja kuwahongera kwa kazi nzuri wanayoifanya katika kutoa huduma bora za afya hospitalini. Licha ya wauguzi wengi kuhitimu humu nchini, bado ipo mianya inayohitajika kuzibwa kwa kutoa mafunzo zaidi ya wauguzi, na hata kuimarisha utendakazi wao.