Wauguzi walivyosaidi watoto wachanga katika tetemeko la ardhi

  • | BBC Swahili
    2,045 views
    Angalia video ikiwaonesha wauguzi wawili nchini China walivyokuwa wawalinda watoto wachanga wakati tetemeko kubwa la ardhi lilipopiga nchi jirani ya Myanmar siku ya Ijumaa. CCTV kutoka Wodi ya wazazi huko Ruili, mji wa China karibu na mpakani, inaonyesha mwanamke mmoja akipiga magoti kumlinda mtoto mchanga, huku muuguzi mwingine akiwashikilia watoto wengine kwenye vitanda vyao. Wauguzi na watoto wachanga walifanikiwa kutoka bila kujeruhiwa. #bbcswahili #mynmar #china Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw