Wauguzi wanaotiliwa shaka wakamatwa hospitalini Kericho

  • | KBC Video
    95 views

    Maafisa wa polisi kaunti ya Kericho wamewakamata wauguzi watatu waliokuwa wakihudumu kinyume cha sheria katika hospitali ya matibabu maalum ya Kericho. Kukamatwa kwao kulitokana na ripoti kutoka kwa msimamizi wa hospitali hiyo Charles Langat, kuhusu kuwepo kwa wahudumu wa afya walioshukiwa kufanya kazi katika wadi za hospitali hiyo bila idhini ya wasimamizi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive