Waumini wa Jeshi La Wokovu wakashifu usimamizi mbaya wa mali ya kanisa

  • | KBC Video
    70 views

    Uongozi wa kanisa kuu la Jeshi la Wokovu jijini Nairobi umemulikwa kwa madai ya usimamizi mbaya wa raslimali za kanisa hilo. Waumini wa kanisa hilo waliandamana jana kushinikiza makao makuu ya kimataifa ya kanisa hilo yaliyoko jijini London Uingereza kuingilia kati kwa kuwatuma wakaguzi wa hesabu. Timothy Kipnusu na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive