Waumini wa Kanisa Katoliki washerehekea Jumapili ya mitende

  • | KBC Video
    96 views

    Wakristo kote nchini walikusanyika katika makanisa yao kusherehekea Jumapili ya Mitende, ambayo huashiria kuanza kwa wiki takatifu katika kalenda ya Kikristo. Maadhimisho hayo ya kila mwaka duniani yalishuhudia misafara ya kusisimua huku wakristo wakibeba matawi ya mitende yaliyotikiswa juu kama ishara ya kuingia kwa kishindo kwa Yesu Kristo mjini Yerusalemu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive