Waumini wa Katoliki nchini watoa risala za rambirambi

  • | Citizen TV
    128 views

    Waumini wa Kanisa Katoliki nchini waliungana na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais William Ruto na Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kumuomboleza kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis