Waumini wampuuza Kalonzo na wenzake kanisani Limuru

  • | Citizen TV
    6,217 views

    Kinara wa chama Cha Wiper Democratic Party Stephen Kalonzo musyoka pamoja na wanasiasa wengine waliotangamana naye wamekuwa na kibarua Cha ziada, eneo bunge la limuru kaunti ya kiambu, hii ni baada ya waumini wa Kanisa la Life Church limuru kuwaacha wanasiasa hao wakihutubia kanisa lililokuwa tupu na kuelekea makwao pindi tu hotuba za wanasiasa zilipoanza.