Waumini wawili wa kanisa la PAG wafariki baada ya kula chakula kinachoaminika kuwa na sumu Luanda

  • | Citizen TV
    1,944 views

    Washirika wawili wa kanisa la PAG Luanda kaunti ya Vihiga wameaga dunia huku wengine hamsini na nane wakipokea matibabu baada ya kula chakula kinachoaminika kuwa na sumu.