Wavuvi Homa Bay wabuni vyama vya akiba

  • | KBC Video
    5 views

    Wavuvi katika kaunti ya Homa Bay wamepokea ruzuku ya shilingi milioni moja kutoka serikali ya kaunti ya Homa Bay na benki ya Equity kubuni chama cha ushirika cha akiba na mikopo ili kuboresh hali yao ya kiuchumi kupitia mafunzo kuhusu shughuli za kifedha na mbinu za uwekezaji na uwekaji akiba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive