Wavuvi kutoka Kwale walalamikia kuvamiwa kwa maeneo yao ya uvuvi

  • | Citizen TV
    168 views

    Wavuvi katika kaunti ya Kwale wamelalamikia ongezeko la visa vya unyakuzi wa ardhi ya kujenga bandari ya samaki katika fuo za bahari hindi.