Wavuvi walalamika kuteswa na polisi wa Uganda

  • | Citizen TV
    1,118 views

    Kwa muda mrefu, wavuvi katika Ziwa Victoria, eneo bunge la Budalangi, kaunti ya Busia, wamekuwa wakiishi kwa hofu kufuatia visa vya kuvamiwa na kukamatwa na wanajeshi wa nchi jirani ya Uganda kutokana na mzozo wa mpaka wa majini, kisha kuteswa na hata wengine kupoteza maisha