Wawakilishi wadi wa Meru waanzisha mchakato wa kuwaondoa mawaziri kwa tuhuma za ubadhirifu

  • | NTV Video
    519 views

    Wawakilishi wadi wa bunge la kaunti ya Meru wameanzisha mchakato wa kuwaondoa baadhi ya mawaziri wa gavana Kawira Mwangaza kwa tuhuma za ubadhirifu mkubwa wa rasilimali za umma, kutotenda kazi kwa ufanisi na matumizi mabaya ya ofisi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya