Wawakilishi wadi wakosa kuhudhuria mkutano wa Gavana Kawira Mwangaza

  • | K24 Video
    192 views

    Sasa tunaelekea katika kaunti ya Meru, ambapo juhudi za Gavana Kawira Mwangaza za kuwa na maridhiano na wapinzani wake wa kisiasa katika kaunti hazikufaulu baada ya wawakilishi wadi kukosa kuhudhuria mkutano katika makao yake siku ya alhamisi. Gavana mwangaza aliandaa mkutano wa maendeleo, alhamisi Januari 9, akiwa na lengo la kutatua tofauti zilizoko na na bung la kaunti.