Wawakilishi wadi wavamia afisi za idara ya biashara kulalamikia mienendo mbaya ya maafisa wa KRA

  • | Citizen TV
    211 views

    Kizazaa kilishuhudiwa mjini Busia baada ya wawakilishi wadi kuvamia afisi za idara ya biashara kulalamikia mienendo mbaya ya maafisa wa idara ya ukusanyaji ushuru kaunti hiyo.