3 Nov 2025 10:39 am | Citizen TV 531 views Duration: 1:36 Washikadau wa uchukuzi kaunti ya Kwale wametakiwa kuwekeza kwenye uchukuzi wa tuktuk zinazotumia umeme badala ya zile za mafuta ya petroli ili kulinda mazingira.