Wazazi kutoka eneo bunge la Nyatike washtumu uamuzi wa Serikali kuu wa kufunguliwa Kwa shule

  • | Citizen TV
    999 views

    Wazazi Kutoka Maeneo ambayo yamekumbwa na janga la mafuriko katika eneo bunge la Nyatike kaunti ya Migori wameshtumu uamuzi wa Serikali kuu wa kufunguliwa Kwa shule..