Wazazi na wanafunzi wataka shule ya Lmisigiyoi huko Samburu ifunguliwe

  • | Citizen TV
    132 views

    Wazazi na wanafunzi wa shule ya msingi ya Lmisigiyoi Samburu magharibi, wameandamana hadi shuleni wakilalamikia kutofunguliwa Kwa shule hiyo wiki Moja baada ya ufunguzi rasmi wa shule kote nchini. Aidha wanashinikiza kuhamishwa Kwa walimu waliodumu hapo Kwa zaidi ya miaka Kumi wakisema hatua hiyo itaimarisha masomo na usimamizi wa shule hiyo. Bonface Barasa anaarifu