Wazazi na watoto wa shule ya Komaranch waandamana wakilalamikia mienendo ya mwalimu mkuu

  • | Citizen TV
    2,368 views

    Wazazi na watoto wa shule ya Komaranch waandamana wanalalamikia mienendo ya mwalimu mkuu Mawathe wanadai mienendo yake inadhalilisha wanafunzi hao