Wazazi wa shule ya msingi ya Mirera eneo la Laikipia waandamana

  • | Citizen TV
    161 views

    wazazi zaidi ya mia moja wa shule ya msingi ya Mirera kaunti ya Laikipia wameandamana wakitaka bodi ya usimamizi ya shule hiyo kuvunjwa kwa madai ya matumizi mabaya ya rasilimali za taasisi.