Wazazi Wafundishwa Njia Za Kuwalisha Watoto Kaunti Ya Murang'a

  • | TV 47
    22 views

    Wazazi Wafundishwa Njia Za Kuwalisha Watoto Kaunti Ya Murang'a

    Wazazi wamehimizwa kuzingatia ubora wa chakula kwa watoto ili kuzuia kuongezeka kwa tatizo la utapiamlo (malnutrition).

    Haya ni kulingana na madaktari na wataalamu wa lishe katika Kaunti Ya Murang'a wakati wa kambi ya uhamasisaji wa lishe bora kwa watoto.

    #TV47Matukio #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __