Wazazi wahimizwa kuchunguza mienendo ya watoto wao

  • | Citizen TV
    146 views

    Wazazi katika kaunti ya Busia na nchi nzima kwa jumla wamehimizwa kuwa makini na wanawao msimu huu wa likizo, na kuwatahadharisha dhidi ya matumizi ya bidhaa mbadala za mihadarati zenye ladha mbalimbali zinazotajwa kuwa salama. Jane Cherotich anaarifu zaidi