Wazazi waliojifungua siku ya Krismasi wapokezwa zawadi Kirinyaga

  • | Citizen TV
    542 views

    Ulimwengu ulipokuwa ukisherehekea sikukuu ya Krismasi, wazazi waliobarikiwa kupata watoto siku ya krismasi walipata bahati ya kipekee baada ya kupokezwa zawadi mbalimbali. Katika kaunti ya Kirinyaga, serikali ya kaunti hiyo iliwatunuku wazazi, kama Chrispine Otieno anavyoarifu