Wazazi waombwa kushirikiana na usimamizi wa shule ili kubadili matokeo ya wanao.

  • | West TV
    23 views
    Imebainika wazi kuwa kutohudhuria masomo na uhusiano miongoni mwa wanafunzi hasa katika shule za kutwa ni kati ya mambo yanayoathiri viwango vya elimu huku wito ukitolewa kwa washikadau katika sekta ya elimu wakiwemo wazazi kushirikiana na usimamizi wa shule ili kukabili mkondo huu.