Wazazi wataka mwalimu mkuu wa Kakuyuni aondolewe

  • | Citizen TV
    330 views

    Wazazi na jamii katika eneo la Kakuyuni Malindi kaunti ya Kilifi, wametoa wito kwa idara ya elimu nchini kumhamisha mwalimu mkuu wa shule ya upili ya wavulana ya Kakuyuni.