Wazazi watakiwa kuhakikisha watahiniwa wako shuleni

  • | Citizen TV
    229 views

    Huku zaidi ya wanafunzi 950,000 wakianza mtihani wa kitaifa wa kcse, Wazazi katika kaunti ya Mombasa wamehimizwa kuhakikisha kuwa watahiniwa wote wamefanya mtihani wa kitaifa ulioanza hii leo