Wazazi watakiwa kulipa karo kufanikisha masomo shuleni

  • | KBC Video
    21 views

    Baadhi ya walimu wakuu katika shule za upili, kaunti ya Kisii wametoa wito kwa wazazi kupea kipaumbele ulipaji karo za shule katika juhudi za kuhakikisha wanafunzi wanasalia shuleni na kumaliza elimu yao kama haki ya kimsingi. Wakiongea katika sehemu tofauti, walimu wakuu hao walisisitiza kwamba ulipaji karo za shule kwa wakati ufaao utawezesha taasisi husika kununua bidhaa za shughuli za masomo kwa wakati unaofaa na kuhakikisha masomo yanaendelea bila matatizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive