Wazazi wengi hawafahamu athari za tonsilitis na adenoits Elgeyo Marakwet

  • | TV 47
    13 views

    Idadi kubwa ya waathiriwa ni watoto.

    Wazazi wengi hawafahamu athari za tonsilitis na adenoits.

    Ugonjwa huu usipotibiwa kwa wakati unaathiri moyo.

    Gharama yake ni ya juu mno.

    Unachangiwa pakubwa na bakteria na huathiri koo, pua ama maskio.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __