Wazee kutoka jamii ya Abagusii walaani kudhalilishwa na kudhulumiwa kwa mjane Mellen Mogaka

  • | Citizen TV
    563 views

    Wazee kutoka jamii ya Abagusii chini ya mwavuli wao wa baraza la Mwanyangetike wamelaani kudhalilishwa na kudhulumiwa kwa mjane Mellen Mogaka wakati w amazishi ya aliyekuwa mumewe huko Nyamira.