Wazee wa jamii ya Awer wataka vijana wao waajiriwe serikalini

  • | Citizen TV
    152 views

    Jamii ya Awer katika kaunti ya Lamu imeitaka serikali iwaajiri vijana wao ili waweze kuisaidia jamii hiyo.