"Wazee wa mila huchagua Kaya ya kuanza tohara na lazima mtoto afariki"

  • | BBC Swahili
    411 views
    Mwishoni mwa mwaka wa 2022 baadhi ya vijana wilayani tarime walikimbia kwenye makazi yao wakikwepa kutahiriwa kwa mara ya pili baada ya kufanyiwa tohara salama kwenye vituo vya afya. Kwa mujibu wa mila na desturi za kabila la Wakurya kijana asipotahiriwa kimila hawezi kushiriki shughuli zote za kijamii lakini pia hutengwa na watu wa rika lake na kupewa jina la utani Murisha Wengi wameishia kupoteza damu nyingi na kubaki na majeraha waliyoyauguza kwa muda mrefu. Mwandishi wa BBC Eagan Salla alikua mkoani Mara na kuandaa taarifa hii. #bbcswahili #tanzania #mara Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw