Wazee wa Trans Nzoia wamkosoa Kimani Ichung'wah

  • | Citizen TV
    2,569 views

    Tukisalia kwenye masuala ya utekaji nyara, Wazee kutoka jamii mbali mbali kaunti ya trans nzoia wanaitaka serikali kukomesha visa vya utekaji nyara nchini wakisema kuwa hatua hiyo inarejesha taifa nyuma kidemokrasia.