Wazee wataka jamii zinazoishi Lamu kushirikiana

  • | Citizen TV
    118 views

    Jamii ya wabajuni, inayoongozwa na vuguvugu la wazee linalojulikana kama Bajuni Council of Elders, limetoa wito kwa wakaazi wa Lamu kuungana na kuleta jamii hiyo pamoja ili kushinikiza maendeleo.