Wazee wataka rais atimize ahadi Taita Taveta

  • | Citizen TV
    350 views

    Viongozi wa Baraza la Wazee wa Lengakima, Taita Taveta, wamemsuta Rais William Ruto kwa kufeli kutimiza ahadi alizotoa kwa wakazi wa kaunti hiyo.