Waziri Aden Duale aendeleza msimamo mkali dhidi ya ufisadi Wizara ya Afya

  • | Citizen TV
    116 views

    Waziri wa Afya, Aden Duale, ameagiza wakuu wote wa mashirika chini ya wizara hiyo kukabiliana na ufisadi. Amesisitiza umuhimu wa kuweka masilahi ya Mkenya wa kawaida mbele ya yote