Waziri aliyetimulia Justin Muturi asema amepokonywa walinzi

  • | Citizen TV
    2,882 views

    Aliyekuwa waziri wa utumishi wa umma justin muturi amesema walinzi wake wameondolewa, akisema hatua hii ni ya kumtishia kwa sababu ya msimamo wake mkali dhidi ya serikali. Muturi ambaye ni spika wa zamani wa bunge la kitaifa anasema anafaa kuwa na walinzi kama baadhi ya marupurupu ya kustaafu kama spika.