Waziri JB Muturi apuuzilia tetesi za kujiuzulu

  • | KBC Video
    98 views

    Waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi amedumisha msimamo wake kwamba hatajiuzulu wadhifa wake wa uwaziri kufuatia uvumi kuhusu hatua hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive