Waziri John Mbadi akosoa wizara ya elimu kwa kuchelewesha mgao wa wanafunzi

  • | NTV Video
    155 views

    Awali katika mahojiano na kituo hiki kipindi kipya cha Fixing The Nation, waziri wa fedha John Mbadi amekosoa wizara ya elimu kwa kukosa kuwapa wanafunzi wa vyuo hela zao akisema mgao huo tayari umetolewa na wizara yake.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya