Waziri Kabogo azuru KBC, aahidi kuiboresha

  • | KBC Video
    217 views

    Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali William Kabogo ameahidi kuweka mikakakti madhubuti katika shirika la utangazaji la Kenya ili kurejesha hadhi yake kama shirika la utangazaji la kitaifa. Waziri ambaye alifanya ziara yake ya kwanza katika shirika hilo alisema lengo lake lilikuwa kujifahamisha kuhusu mazingira ya kikazi kabla ya kuamua mustakabali atakaochukua.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive