Waziri Kipchumba Murkomen ahojiwa na kamati ya seneti kuhusu barabara kuhusiana na kandarasi za SGR

  • | Citizen TV
    343 views

    Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen anahojiwa na kamati ya seneti kuhusu barabara kuhusiana na kandarasi za reli ya kisasa ya SGR na barabara ya Nairobi Expressway pamoja na masuala yanayofungamana na usimamizi wa bandari ya mombasa.