Waziri Mkuu wa Italia afunga mkutano wa G7
Marekani imesema Alhamisi kuwa wao na wanachama wengine wa G7 wataipatia Kyiv mkopo wa hadi dola bilioni 50 ambao zitalipwa kwa washirika wa Magharibi kwa kutumia mapato ya riba kutoka kwenye mali za Russia zilizozuiliwa katika taasisi za kifedha za Magharibi.
Tangazo hilo lilikuja wakati Rais Joe Biden akikutana na viongozi wa Kundi la nchi saba tajiri za demokrasia Alhamisi katika hoteli ya kifahari ya Borgo Egnazia huko Puglia, Italia, katika siku ya kwanza ya mkutano huo.
Biden amekuwa akiwashinikiza viongozi wa G7 kukubaliana na mpango wake kwa washirika wa Magharibi kutoa fedha mapema kwa Ukraine na kulipwa kwa kutumia mapato ya riba kutoka dola bilioni 280 za mali zisizohamishika za Russia. - VOA
#mkutano #G7 #marekani #rais #joebiden #nchitajiri #voa #voaswahili
22 Apr 2025
- Kenyan men have been accused of adopting outdated toxic traits.
22 Apr 2025
- Kenya's exports to the US are estimated at around Ksh109.7 billion (784 million USD).
22 Apr 2025
- The DCI revealed the case was escalated to the special unit.
23 Apr 2025
- Several world leaders have announced they will travel to Rome for Pope Francis's funeral on Saturday, which is likely to also draw a huge crowd in the square in front of St Peter's Basilica at the Vatican.
23 Apr 2025
- Prince William will represent Britain's royal family at the funeral of Pope Francis at the Vatican on Saturday, Kensington Palace said Tuesday.
23 Apr 2025
- Orengo speaks language of integrity in a betrayed nation
23 Apr 2025
- Shilling's rally set for dividends season dollar demand test
23 Apr 2025
- MPs launch probe into kidney trade claims
23 Apr 2025
- The elusive dream: Is the world ready for a Pope from 'fast rising' Africa?
23 Apr 2025
- Minty business: Local farmer mints cash from fragrant crop
23 Apr 2025
- CoG: William Ruto a threat to devolution
23 Apr 2025
- ARA seeks to freeze assets linked to Canadian tycoon
23 Apr 2025
- Nepal's digital finance and lessons from our mobile money revolution