Waziri mkuu wa Italia atumaini kujenga uhusiano na nchi za Afrika

  • | VOA Swahili
    176 views
    Mkutano wa siku moja uliofanyika katika baraza la seneti la bunge la Italia, na waziri mkuu wa nchi hiyo Giorgia Meloni akitumaini kuwa mpango wake utaleta mwelekeo mpya katika ushirikiano wa masuala ya nishati na kuanza uhusiano mpya kati ya nchi za Ulaya na Afrika #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.