Waziri Mudavadi akutana na waziri wa Uholanzi

  • | Citizen TV
    289 views

    Waziri Wa Maswala Ya Nje Musalia Mudavadi Pamoja Na Waziri Wa Maswala Ya Nje Katika Nchi Ya Uholanzi Wamekutana Hii Leo Kwa Mashauriano Baina Ya Mataifa Haya Mawili. Hii Ikiwa Ni Siku Ya Pili Baada Ya Kuwasili Kwa Mfalme Wa Nchi Hio Na Kutia Saini Makubaliano Ya Kibiashara Na Rais William Ruto .