Waziri Murkomen amtetea Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja

  • | Citizen TV
    964 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amemtetea Inspekta Mkuu wa Polisi Douglas Kanja kutokana na shinikizo kuwa ajiuzulu kwa kuhudhuria mkutano wa kisiasa katika ziara ya rais mlima kenya. Akizumgumza mombasa hapo jana Murkomen alisema kuwa kanja alikuwa anatekeleza majukumu yake likiwemo ufunguzi wa kituo cha polisi. Murkomen pia amemsuta aliyekuwa mwanasheria mkuu Justin Muturi kwa matamshi yake dhidi ya serikali na Rais William Ruto.